Yohana 6:59
Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
These things said he in the synagogue, as he taught in Capernaum.
In Context
Cross References
Luke 4:31Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu katika mkoa wa Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato.
John 18:20Yesu akamjibu, “Nimesema na kila mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika masunagogi na Hekaluni, mahali wakutanikiapo Wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.