Yohana 6:58
Basi, huu ndio mkate ulioshuka kutoka mbinguni; si kama mana waliyokula babu zetu, wakafa. Aulaye mkate huu ataishi milele.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
59Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu.
Cross References
John 6:31Wazee wetu walikula mana kule jangwani, kama yasemavyo Maandiko: Aliwalisha mkate kutoka mbinguni.”
John 6:47Kweli, nawaambieni, anayeamini anao uzima wa milele.