The Bible Software
bible.software › Yohana › Yohana 7 › Yohana 7:43

Yohana 7:43

Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu.

Biblia Takatifu

In The King James Version

So there was a division among the people because of him.

In Context

42Maandiko Matakatifu yasemaje? Yanasema: Kristo atatoka katika ukoo wa Daudi, na atazaliwa Bethlehemu, mji wa Daudi!”

44Baadhi ya watu walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.

Read all of Yohana 7

Cross References

Matthew 10:35Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.

John 7:12Kulikuwa na minong'ono mingi katika umati wa watu. Baadhi yao walisema, “Ni mtu mwema.” Wengine walisema, “La! Anawapotosha watu.”

John 10:19Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.

Acts 23:7Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Yohana 7:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Yohana 7:42Yohana 7Yohana 7:44 →