Yohana 8:18
Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma, ananishuhudia pia.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
I am one that bear witness of myself, and the Father that sent me beareth witness of me.
In Context
17Imeandikwa katika Sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.
Cross References
John 5:31Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
John 8:25Nao wakamwuliza, “Wewe ni nani?” Yesu akawajibu, “Nimewaambieni tangu mwanzo!
John 8:51Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
John 10:9Mimi ni mlango. Anayeingia kwa kupitia kwangu ataokolewa; ataingia na kutoka, na kupata malisho.
John 10:14Mimi ni mchungaji mwema. Nawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi,
John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uzima. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi: