Yohana 9:11
Naye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu. Basi, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
10Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
12Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
Cross References
John 9:27Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, ninyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”