Yohana 9:10
Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Therefore said they unto him, How were thine eyes opened?
In Context
Cross References
Mark 4:27Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.
John 9:15Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”
John 9:26Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”