Yohana 9:21
Lakini amepataje kuona, hatujui; na wala hatumjui yule aliyemfumbua macho. Mwulizeni yeye mwenyewe; yeye ni mtu mzima, anaweza kujitetea mwenyewe.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
20Wazazi wake wakajibu, “Tunajua kwamba huyu ni mtoto wetu, na kwamba alizaliwa kipofu.
Cross References
John 5:5Basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.
John 9:23Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”