bible.software › Yohana › Yohana 9 › Yohana 9:23
Yohana 9:23
Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Therefore said his parents, He is of age; ask him.
In Context
22Wazazi wake walisema hivyo kwa sababu waliwaogopa viongozi wa Wayahudi kwani viongozi hao walikuwa wamepatana ya kwamba mtu yeyote atakayekiri kwamba Yesu ni Kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.
24Basi, wakamwita tena aliyekuwa kipofu, wakamwambia, “Sema ukweli mbele ya Mungu! Sisi tunajua kwamba mtu huyu ni mwenye dhambi.”
Read all of Yohana 9
Cross References
John 9:21Lakini amepataje kuona, hatujui; na wala hatumjui yule aliyemfumbua macho. Mwulizeni yeye mwenyewe; yeye ni mtu mzima, anaweza kujitetea mwenyewe.”
This Verse In Other Editions
Study Yohana 9:23