bible.software › Yohana › Yohana 9 › Yohana 9:26
Yohana 9:26
Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said they to him again, What did he to thee? how opened he thine eyes?
In Context
25Yeye akajibu, “Kama ni mwenye dhambi mimi sijui. Lakini kitu kimoja najua: Nilikuwa kipofu, na sasa naona.”
27Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, ninyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”
Read all of Yohana 9
Cross References
John 9:10Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
This Verse In Other Editions
Study Yohana 9:26