Yohana 9:38
Basi, huyo mtu akasema, “Ninaamini Bwana!” Akamsujudia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said, Lord, I believe. And he worshipped him.
In Context
37Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.”
Cross References
Matthew 14:33Wote waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, wakasema, “Hakika wewe ni Mwana wa Mungu.”
Matthew 28:17Walipomwona, wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.
John 20:28Thoma akamjibu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”