Luka 1:39
Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yuda.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Mary arose in those days, and went into the hill country with haste, into a city of Juda;
In Context
40Huko, aliingia katika nyumba ya Zakariya, akamsalimu Elisabeti.
Cross References
Luke 1:65Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea.