Luka 10:33
Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa anasafiri, alifika pale yule mtu alipokuwa, naye alipomwona, alimwonea huruma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
32Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali akamwona, akapita kando.
Cross References
Matthew 10:5Yesu aliwatuma hao kumi na wawili na kuwapa maagizo haya: “Msiende kwa watu wa mataifa mengine, wala msiingie katika mji wa Wasamaria.
Luke 7:13Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma, akamwambia, “Usilie.”
Luke 17:16Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru. Huyo alikuwa Msamaria.
John 8:48Wayahudi wakamwambia, “Je, hatukusema kweli kwamba wewe ni Msamaria, na tena una pepo?”