Luka 17:16
Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru. Huyo alikuwa Msamaria.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And fell down on his face at his feet, giving him thanks: and he was a Samaritan.
In Context
15Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa.
17Hapo Yesu akasema, “Je, si watu kumi walitakaswa? Wale tisa wako wapi?
Cross References
Matthew 10:5Yesu aliwatuma hao kumi na wawili na kuwapa maagizo haya: “Msiende kwa watu wa mataifa mengine, wala msiingie katika mji wa Wasamaria.
Luke 5:8Simoni Petro alipoona hayo, akapiga magoti mbele ya Yesu akisema, “Ondoka mbele yangu, ee Bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!”
Luke 10:32Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali akamwona, akapita kando.
John 4:21Yesu akamwambia, “Niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu, wala kule Yerusalemu.
John 5:23ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye amemtuma.