Luka 10:8
Kama mkifika mji fulani na watu wakiwakaribisha, kuleni wanavyowapeni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And into whatsoever city ye enter, and they receive you, eat such things as are set before you:
In Context
9Ponyeni wagonjwa walioko huko, waambieni watu: Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.
Cross References
Matthew 10:40“Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule aliyenituma.
Luke 10:10Lakini mkiingia katika mji wowote, wasipowakaribisheni, tokeni; nanyi mpitapo katika barabara zao semeni:
1 Corinthians 10:27Kama mtu ambaye si muumini akiwaalikeni nanyi mkakubali kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu.