Luka 10:9
Ponyeni wagonjwa walioko huko, waambieni watu: Ufalme wa Mungu umekaribia kwenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And heal the sick that are therein, and say unto them, The kingdom of God is come nigh unto you.
In Context
8Kama mkifika mji fulani na watu wakiwakaribisha, kuleni wanavyowapeni.
Cross References
Matthew 3:2“Tubuni, maana Ufalme wa mbinguni umekaribia.”
Matthew 10:7Mnapokwenda hubirini hivi: Ufalme wa mbinguni umekaribia.
Mark 6:13Waliwafukuza pepo wengi wabaya; wakawapaka mafuta wagonjwa wengi, wakawaponya.
Luke 10:11Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu tunawakung'utieni. Lakini, jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.
John 3:3Yesu akamwambia, “Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa upya hataweza kuuona ufalme wa Mungu.”
Acts 28:7Karibu na mahali pale palikuwa na mashamba ya Publio, mkuu wa kile kisiwa. Publio alitukaribisha kirafiki, tukawa wageni wake kwa siku tatu.