Luka 11:35
Uwe mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Take heed therefore that the light which is in thee be not darkness.
In Context
Cross References
John 7:48Je, mmekwisha mwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Romans 1:22Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
1 Corinthians 1:19Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na elimu ya wataalamu nitaitupilia mbali.”
James 3:13Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aonyeshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.