Yohana 7:48
Je, mmekwisha mwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Have any of the rulers or of the Pharisees believed on him?
In Context
47Mafarisayo wakawauliza, “Je, nanyi pia mmedanganyika?
49Lakini umati huu haujui Sheria ya Mose; umelaaniwa!”
Cross References
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia watoto wadogo.
John 7:50Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia,
Acts 6:7Neno la Mungu likazidi kuenea na idadi ya waumini huko Yerusalemu ikaongezeka zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea imani.
1 Corinthians 1:22Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;