Luka 12:59
Hakika hutatoka huko nakwambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
I tell thee, thou shalt not depart thence, till thou hast paid the very last mite.
In Context
Cross References
Matthew 18:34“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Matthew 25:46Basi, hawa watakwenda kwenye adhabu ya milele, lakini wale waadilifu watakwenda kwenye uzima wa milele.”
Luke 16:26Licha ya hayo, kati yetu na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wanaotaka kuja kwenu kutoka huku wasiweze, wala wanaotaka kutoka kwenu kuja kwetu wasiweze.