bible.software › Luka › Luka 12 › Luka 12:7
Luka 12:7
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi, ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!
Biblia Takatifu
In The King James Version
But even the very hairs of your head are all numbered. Fear not therefore: ye are of more value than many sparrows.
In Context
6Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki hata mmoja.
8“Nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, Mwana wa Mtu naye atakiri mbele ya malaika wa Mungu kwamba mtu huyo ni wake.
Read all of Luka 12
Cross References
Matthew 10:30Lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote.
Luke 21:18Lakini, hata unywele mmoja wa vichwa vyenu hautapotea.
This Verse In Other Editions
Study Luka 12:7