Luka 21:18
Lakini, hata unywele mmoja wa vichwa vyenu hautapotea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But there shall not an hair of your head perish.
In Context
17Watu wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu.
19Kwa uvumilivu wenu, mtayaokoa maisha yenu.
Cross References
Luke 12:7Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi, ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!