Luka 12:9
Lakini, mtu yeyote anayenikana mbele ya watu, naye atakanwa mbele ya malaika wa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But he that denieth me before men shall be denied before the angels of God.
In Context
Cross References
Matthew 7:23Hapo nitawaambia: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.
Matthew 25:12Lakini yeye akawajibu, Nawaambieni kweli, siwajui ninyi.”
Matthew 25:41“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake.
Luke 9:26Mtu akinionea aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea aibu mtu huyo wakati atakapokuja katika utukufu wake na wa Baba na wa malaika watakatifu.
Luke 22:57Lakini Petro akakana akisema, “Wee! simjui mimi.”
2 Timothy 2:12Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.