Luka 14:16
Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akaalika watu wengi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said he unto him, A certain man made a great supper, and bade many:
In Context
17Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, Njoni, kila kitu ni tayari.
Cross References
Matthew 22:2“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Luke 14:16Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akaalika watu wengi.
Revelation 22:17Roho na Bibiarusi waseme, “Njoo!” Kila mtu asikiaye hili, na aseme, “Njoo!” Kisha, yeyote aliye na kiu na aje; anayetaka maji ya uzima na apokee bila malipo yoyote.