Luka 14:28
Kwa maana, ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara hataketi kwanza akadirie gharama zake ili ajue kama ana kiasi cha kutosha cha kumalizia?
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
29La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Cross References
Matthew 10:22Watu wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ataokolewa.
Luke 14:33Vivyo hivyo, basi, hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.
1 Thessalonians 3:4Maana, tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwaambieni kwamba tutateswa; na kama mjuavyo ndivyo ilivyotukia.