Luka 16:18
“Yeyote anayemwacha mke wake na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
17Lakini ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita, kuliko hata herufi moja ya Sheria kufutwa.
Cross References
Matthew 5:31“Ilikwisha semwa pia: Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka.
Mark 10:11Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
1 Corinthians 7:10Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;