bible.software › Luka › Luka 16 › Luka 16:21
Luka 16:21
Lazaro alitamani kula makombo yaliyoanguka kutoka meza ya tajiri; na zaidi ya hayo, mbwa walikuwa wanakuja na kulamba vidonda vyake!
Biblia Takatifu
In The King James Version
And desiring to be fed with the crumbs which fell from the rich man’s table: moreover the dogs came and licked his sores.
In Context
20Kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake Lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.
22“Ikatokea kwamba huyo maskini akafa, malaika wakamchukua, wakamweka karibu na Abrahamu. Na yule tajiri pia akafa, akazikwa.
Read all of Luka 16
Cross References
Mark 7:28Lakini huyo mama akasema, “Sawa, Bwana, lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.”
1 Corinthians 4:11Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi.
This Verse In Other Editions
Study Luka 16:21