bible.software › Luka › Luka 16 › Luka 16:6
Luka 16:6
Yeye akamjibu: Mapipa mia ya mafuta ya zeituni. Yule karani akamwambia: Chukua hati yako ya deni, keti haraka, andika hamsini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said, An hundred measures of oil. And he said unto him, Take thy bill, and sit down quickly, and write fifty.
In Context
5Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmoja mmoja, akamwambia yule wa kwanza: Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?
7Kisha akamwuliza mdeni mwingine: Wewe unadaiwa kiasi gani? Yeye akamjibu: Magunia mia ya ngano. Yule karani akamwambia: Chukua hati yako ya deni, andika themanini.
Read all of Luka 16
Cross References
Luke 16:12Na kama hamjakuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewakabidhi mali yenu wenyewe?
This Verse In Other Editions
Study Luka 16:6