Luka 17:10
Hali kadhalika na ninyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: Sisi ni watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9Je utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?
11Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia mipakani mwa Samaria na Galilaya.
Cross References
Matthew 25:30Na kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni nje gizani! Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Romans 3:12Wote wamepotoka wote wamekosa; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.