Luka 17:23
Na watu watawaambieni: Tazameni yuko hapa; ninyi msitoke wala msiwafuate.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they shall say to you, See here; or, see there: go not after them, nor follow them.
In Context
Cross References
Mark 13:21“Basi mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa! au Yupo pale! msimsadiki.
Luke 21:8Yesu akawajibu, “Jihadharini, msije mkadanganyika. Maana wengi watatokea na kulitumia jina langu wakisema: Mimi ndiye, na, Wakati ule umekaribia. Lakini ninyi msiwafuate!