Luka 17:35
Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Two women shall be grinding together; the one shall be taken, and the other left.
In Context
36Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Matthew 24:41Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.