Luka 17:37
Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Ulipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
36Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Matthew 24:28Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.
Revelation 19:17Kisha nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, “Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.