Luka 18:36
Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And hearing the multitude pass by, he asked what it meant.
In Context
35Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.
37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”
Cross References
Matthew 21:10Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?”