Luka 18:35
Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
36Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Cross References
Matthew 20:29Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Luke 16:20Kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake Lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.
John 9:8Basi, jirani zake na wale waliokuwa wanajua kwamba hapo awali alikuwa maskini mwombaji, wakasema, “Je, huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?”