Luka 18:40
Yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus stood, and commanded him to be brought unto him: and when he was come near, he asked him,
In Context
41“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona tena.”
Cross References
Mark 10:48Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”