Luka 18:41
“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona tena.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Saying, What wilt thou that I shall do unto thee? And he said, Lord, that I may receive my sight.
In Context
40Yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. Yule kipofu alipofika karibu, Yesu akamwuliza,
42Yesu akamwambia, “Ona! Imani yako imekuponya.”
Cross References
Matthew 20:21Yesu akamwuliza, “Unataka nini?” Huyo mama akamwambia, “Ahidi kwamba katika Ufalme wako, hawa wanangu wawili watakaa mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto.”