Luka 19:13
Basi, kabla ya kuondoka aliwaita watumishi wake kumi, akawapa kiasi cha fedha kila mmoja na kumwambia: Fanyeni nazo biashara mpaka nitakaporudi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
John 12:26Anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu yeyote anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.
1 Corinthians 12:7Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.
Galatians 1:10Sasa nataka kibali cha nani: cha binadamu, ama cha Mungu? Au je, nataka kuwapendeza watu? Kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa kamwe mtumishi wa Kristo.
1 Peter 4:9Muwe na ukarimu ninyi kwa ninyi bila kunung'unika.