Yohana 12:26
Anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu yeyote anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 25:21Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.
Luke 6:46“Mbona mwaniita Bwana, Bwana, na huku hamtimizi yale ninayosema?
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.