Luka 19:20
“Mtumishi mwingine akaja, akasema: Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And another came, saying, Lord, behold, here is thy pound, which I have kept laid up in a napkin:
In Context
19Naye akamwambia pia: Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.
Cross References
Luke 3:9Lakini, sasa hivi shoka limewekwa tayari kukata mizizi ya miti. Kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni.”
Luke 19:13Basi, kabla ya kuondoka aliwaita watumishi wake kumi, akawapa kiasi cha fedha kila mmoja na kumwambia: Fanyeni nazo biashara mpaka nitakaporudi.