Luka 19:34
Nao wakawajibu, “Bwana anamhitaji.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they said, The Lord hath need of him.
In Context
35Basi, wakampelekea Yesu yule mwana punda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake wakampandisha Yesu.
Cross References
John 12:16Wakati huo wanafunzi wake hawakuelewa mambo hayo, lakini Yesu alipokwisha tukuzwa, ndipo walipokumbuka kwamba hayo yalikuwa yameandikwa juu yake, na kwamba watu walikuwa wamemtendea hivyo.