Luka 19:35
Basi, wakampelekea Yesu yule mwana punda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake wakampandisha Yesu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
34Nao wakawajibu, “Bwana anamhitaji.”
36Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Cross References
Mark 11:7Wakampelekea Yesu huyo mwana punda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwana punda, na Yesu akaketi juu yake.
Galatians 4:15Mlikuwa wenye furaha; sasa kumetokea nini? Naapa kwamba wakati ule mngaliweza hata kuyang'oa macho yenu na kunipa mimi.