Luka 2:47
Wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And all that heard him were astonished at his understanding and answers.
In Context
46Siku ya tatu walimkuta Hekaluni kati ya walimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali.
Cross References
Matthew 7:28Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.
Luke 2:18Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji.
Luke 4:32Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.
John 7:46Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!”