Luka 21:1
Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya Hekalu,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he looked up, and saw the rich men casting their gifts into the treasury.
In Context
2akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Cross References
Matthew 27:6Makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, “Haifai kuziweka katika hazina ya Hekalu kwa maana ni fedha za damu.”
Mark 12:41Yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. Akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya Hekalu. Matajiri wengi walitoa fedha nyingi.