Luka 21:2
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he saw also a certain poor widow casting in thither two mites.
In Context
1Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya Hekalu,
3Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane ametia zaidi katika hazina kuliko wote.
Cross References
Mark 12:42Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha.