Luka 21:32
Nawaambieni hakika, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Verily I say unto you, This generation shall not pass away, till all be fulfilled.
In Context
31Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.
33Mbingu na dunia vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.
Cross References
Matthew 23:36Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.
Mark 13:30Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.