Luka 21:33
Mbingu na dunia vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away.
In Context
32Nawaambieni hakika, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.
Cross References
Matthew 24:35Naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
1 Peter 1:25Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.
Revelation 20:11Kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe, na yule aketiye juu yake. Dunia na mbingu vikatoweka mbele ya macho yake, na havikuonekana tena.