Luka 22:14
Saa ilipotimia, Yesu akakaa kula chakula pamoja na mitume wake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when the hour was come, he sat down, and the twelve apostles with him.
In Context
13Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka.
15Akawaambia, “Nimetamani sana kula Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.
Cross References
Matthew 26:20Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.
Mark 14:17Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.