Luka 22:13
Basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya Pasaka.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they went, and found as he had said unto them: and they made ready the passover.
In Context
12Naye atawaonyesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”
14Saa ilipotimia, Yesu akakaa kula chakula pamoja na mitume wake.
Cross References
Luke 19:32Basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.
John 2:5Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.”
Hebrews 11:8Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. Ingawa hakujua alikokuwa anakwenda, Abrahamu alihama.