Luka 22:35
Kisha, Yesu akawauliza wanafunzi wake, “Wakati nilipowatuma bila mfuko wa fedha wala mkoba wala viatu, mlitindikiwa chochote?” Wakajibu, “La.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
34Yesu akamjibu, “Nakwambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu.”
Cross References
Matthew 6:31“Basi, msiwe na wasiwasi: Tutakula nini, tutakunywa nini, tutavaa nini!
Mark 6:8na kuwaamuru, “Msichukue chochote mnapokwenda isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kibindoni.
Luke 10:4Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani.