Luka 22:38
Nao wakasema, “Bwana, tazama; hapa kuna panga mbili.” Naye akasema, “Basi!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they said, Lord, behold, here are two swords. And he said unto them, It is enough.
In Context
Cross References
Luke 22:49Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
2 Corinthians 10:3Kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.
1 Thessalonians 5:8Lakini sisi ni watu wa mchana na tunapaswa kuwa na kiasi. Tunapaswa kuvaa imani na upendo kama vazi la kujikinga kifuani, na tumaini letu la wokovu kama kofia ya chuma.