Luka 22:39
Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa Mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
38Nao wakasema, “Bwana, tazama; hapa kuna panga mbili.” Naye akasema, “Basi!”
40Alipofika huko akawaambia, “Salini, msije mkaingia katika kishawishi.”
Cross References
Matthew 21:1Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu na kufika Bethfage katika mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,
Matthew 26:36Kisha Yesu akaenda pamoja nao bustanini Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa nami niende pale mbele kusali.”
Mark 11:19Ilipokuwa jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini.
Mark 14:26Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Luke 21:37Wakati wa mchana, siku hizo, Yesu alikuwa akifundisha watu Hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika mlima wa Mizeituni na kukaa huko.