Luka 22:46
Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And said unto them, Why sleep ye? rise and pray, lest ye enter into temptation.
In Context
45Baada ya kusali, aliwarudia wanafunzi wake, akawakuta wamelala, kwani walikuwa na huzuni.
Cross References
Luke 22:40Alipofika huko akawaambia, “Salini, msije mkaingia katika kishawishi.”